Wafanyakazi wa Halmshauri wote mnatangaziwa wote kuwa tarehe 13 Mei 2017 siku ya Jumamosi kutakuwa na mazoezi ya pamoja kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 1.30 asubuhi.Ratiba itaanza katika uwanja wa Luganga sokoni kwa Jogging,mazoezi ya viungo na mechi ya mpira wa miguu kati ya timu ya DED na DC.Kauli mbiu ...Mazoezi endelevu ni tiba!!!!
Nyote mnakaribishwa.
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa