Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia wananchi wote kuwa anauza viwanja vilivyopimwa zaidi ya 500 kwa matumizi ya Viwanda,Makazi,Biashara na vituo vya mafuta vipo eneo la Viwengi Lundamatwe.zaidi soma hapaTangazo Viwanja.pdf
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa