• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Usafi na Mazingira

Usafi wa Mazingira

1. Maelezo mafupi kuhusu Idara

  • Idara ya Usafi na Mazingira iliundwa mwaka 2011 na Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye ndiye mwenye dhamana na serikali za mitaa. Idara iliundwa kwa ajili ya kushughulikia masuala ya usafi na mazingira katika halmashauri zote Tanzania.
  • Kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, idara hii imeanza kufanya kazi rasmi kuanzia Februari 2009 ikiwa na mtumishi mmoja tu hadi sasa
  •  Malengo ya Idara katika utoaji wa huduma
  • Malengo makuu ya idara ni pamoja na;
  • · Kuhakikisha jamii inakuwa na hali nzuri ya usafi wa mazingira kwa kutekeleza sheria, sera na miongozo mbali mbali ya afya na mazingira.
  • · Kuhakikisha shughuli zote za kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa zinafanyika kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na kizazi cha baadaye
  • 3. Vitengo vilivyopo kwenye idara na majukumu yake
  • Ø Mazingira
  • Kitengo hiki kina majukumu ya;
  • · Kusimamia sera, sheria na miongozo ya masuala ya utunzaji wa mazingira
  • · Kutoa elimu na hamasa kwa jamii juu ya utunzaji wa mazingira
  • · Kufuatilia masuala ya utunzaji wa mazingira ikiwemo tathmini za athari kwa mazingira katika miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile ujenzi wa barabara, nyumba, maabara, viwanda, umwagiliaji, uchimbaji wa madini n.k
  • Ø Usafi
  • Kitengo hiki kina majukumu ya;
  • · Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na miongozo inayohusu masuala ya afya na mazingira
  • · Kutoa elimu juu ya usafi wa mazingira katika maeneo yote kama vile kaya, taasisi zote za serikali na zisizo za kiserikali na sehemu mbalimbali kama vile masoko, magulio na sehemu za wazi.
  • · Kufuatilia milipuko ya magonjwa ya kuambukiza
  • 4. Majukumu ya idara kwa ujumla
  • i. Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na miongozo mbalimbali inayohusu afya na mazingira
  • ii. Kupanga na kutekeleza mipango mbali mbali inayohusu usafi na mazingira
  • iii. Kufuatilia milipuko ya magonjwa ya kuambukiza
  • iv. Kufanya tafiti za kiepidemiologic na za mazingira na kutumia matokeo ili kuboresha huduma za kinga
  • v. Kushirikiana na taasisi nyingine katika maeneo yanayohusiana na afya na mazingira
  • vi. Kutoa ushauri wa kitaalam kwa halmashauri ili kuendeleza huduma za afya na mazingira
  • 5. Aina ya huduma muhimu zinazotolewa kwa jamii mara kwa mara
  • · Elimu na hamasa juu ya usafi na utunzaji wa mazingira
  • · Ushauri juu ya masuala ya usafi na utunzaji wa mazingira
  • · Ushauri juu ya taratibu za tathmini ya athari kwa mazingira katika miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa jamii
  • 6. Miongozo na sera mbalimbali inayotumiwa na idara na vitengo katika kutekeleza majukumu ya kila siku
  • · Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004
  • · Sera ya Mazingira ya mwaka 1997
  • · Sheria ya Afya ya Jamii ya mwaka 2009
  • · Waraka wa Maendeleo ya Utumishi Na 1 wa mwaka 2011 unaohusu Muundo wa maendeleo ya Utumishi wa kada chini ya ofisi ya Makamu wa Rais
  • · Sheria, sera na miongozo yote inayohusu utunzaji wa vyanzo vya maji, matumizi ya maji, ardhi, misitu na maliasili
  • · Sheria ya Madini ya mwaka 2010

· Sheria, sera na miongozo mbalimbali inayohusu Serikali za mitaa

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WAPEWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI

    November 28, 2025
  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa