Sunday 22nd, December 2024
@Viwanja vya Shule ya msingi Kilolo
Maadhimisho ya siku ya kisomo yatafanyika tarehe 19/05/2017 siku ya Ijumaa viwanja vya shule ya Msingi Kilolo.Lengo la maadhimisho hayo ni kusisitiza kujua Kusoma,Kuandika na Kuhesabu(KKK) kwa watoto wa darasa la awali,la kwanza na la pili.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni Ufundishaji bora wa kusoma,kuandika na kuhesabu ni msingi wa maarifa,ujuzi na stadi ya maendeleo ya elimu katika kufikia uchumi wa Viwanda.
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa