• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MRADI WA ELIMU WA VILABU YA KUJISOMEA (READING CLUBS PROJECT) WA CHUO KIKUU CHA AGAKHAN, TAASISI YA MAENDELEO YA ELIMU AFRIKA MASHARIKI WILAYA YA KILOLO NA IRINGA.

Posted on: November 21st, 2021

Dr. mrutu alisema mradi upo katika mikoa nane(8) na shule 91 katika mikoa hiyo ambapo mradi unatoa vitabu na vifaa vya michezo ambapo kila shule  ilikabidhiwa vitabu 310 vikiwemo vitabu vya lugha ya Kiswahili na kiingereza,vitabu vya kiada 82 na vifaa vya michezo 41 vitabu hivi vimethibitishwa na Taasisi ya Elimu Tanzania(TIE).Shule hizo ni Kitowo,Mwatasi,Mwanzala,Luganga na Kilolo B kwa upande wa iringa ni Kitayawa,Mangalali,Isakalilo,Ilambilole na nyang'oro

 Dr. Mrutu aliongeza kuwa lengo la mradi huu ni kuchochea tabia ya wanafunzi kupenda na kujenga tabia ya kusoma vitabu ili kupata maarifa mbali mbali yatakayowawezesha kutatua changamoto za maisha na kutumia vifaa vya michezo walivyopewa ili kuimarisha utimamu wa miili yao kwa kushiriki michezo.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza 2023 December 14, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI July 05, 2022
  • KARIBU WAAJIRIWA WOTE WALIOPANGIWA KURIPOTI KILOLO July 08, 2022
  • Majina yawalioitwa kwenye Usaili wa Karani,Msimamizi wa Maudhui na Msimamizi wa TEHAMA kwenye sensa ya watu na makazi wilaya ya Kilolo July 15, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MRADI WA ELIMU WA VILABU YA KUJISOMEA (READING CLUBS PROJECT) WA CHUO KIKUU CHA AGAKHAN, TAASISI YA MAENDELEO YA ELIMU AFRIKA MASHARIKI WILAYA YA KILOLO NA IRINGA.

    November 21, 2021
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YANG'ARA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE 2017

    August 11, 2017
  • JUKWAA LA UWEZESHAJI KIUCHUMI KWA WANAWAKE NGAZI YA WILAYA LA ZINDULIWA

    May 18, 2017
  • Mh.JAFO SULEIMAN SAID AKIKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO UNAVYOENDELEA

    May 16, 2017
  • Angalia zote

Video

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa akitoa ujumbe wa mwenge 2017
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa