• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA BILIONI 14.9 YAZINDULIWA NA MWENGE WA UHURU 2017

Posted on: April 26th, 2017

Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 Wilayani Kilolo umezindua jumla ya miradi nane ya maendeleo yenye thamani ya 14,923,909,000 (Bilioni kumi na nne milioni miatisa ishirini na tatu mia tisa na tisa elfu tu) Miradi hiyo Kisekta ni miradi ya Utawala mmoja, Elimu mmoja, Ujenzi mmoja, afya mmoja, Biashara na viwanda mmoja, Maendeleo ya Jamii mmoja, Kilimo mmoja na TAKUKURU mmoja.Miradi iliyotembelewa na mwenge wa Uhuru ni Ujenzi wa  Ofisi ya kijiji Kitelewasi,Ujenzi wa madarasa shule ya sekondari Lundamatwe,klabu ya kupambana na rushwa shule ya sekondari Lundamatwe,ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mji mdogo wa Ilula,Ujenzi wa zahanati katika kijiji cha kipaduka,Ujenzi wa kiwanda cha nyanya Ikokokoto,Mradi wa kikundi cha kufuga samaki na Ujenzi wa mradi wa skimu ya umwagiliaji mgambalenga katika kijiji cha Mtandika.

Miradi hiyo imefunguliwa na Mkimbiza mwenge kitaifa ndugu Amor Hamad Amour ambapo alisisitiza halmashauri kusimamia kwa karibu miradi yote kwa lengo la kuhakikisha inakamilika kwa muda uliopangwa ili wanaichi waweze kuifaidi pia amewaasa wanainchi kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu jinsi miradi hiyo inavyotekelezwa ili baadaye waweze kuitunza vizuri.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Kuitwa usaili wakusanya mapato October 16, 2024
  • KUITWA KAZINI October 29, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WA UHURU 2025 WARIDHIA MIRADI YOTE KILOLO DC

    April 30, 2025
  • WILAYA YA KILOLO KUFANYA MAONYESHO MAKUBWA YA BIASHARA, KILIMO NA VIWANDA

    April 16, 2025
  • MAFUNZO ELEKEZI KWA AJILI YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI.

    January 14, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI (WASIMAMIZI) NGAZI YA JIMBO KILOLO YATAMATIKA

    December 20, 2024
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa