• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Ufugaji

 

  • SEKTA YA MIFUGO

Katika sekta ya mifugo, wilaya ya Kilolo ina fursa mbalimbali za uwekezaji katika mnyororo wa thamani wa mifugo kulingana na kanda za kiikolojia.  Kila kanda ina hali ya hewa iliyo tofauti na nyingine ambayo utofauti huo ndiyo unaleta fursa mbalimbali.

  • Ukanda wa juu:Hali ya mwinuko wa mita 1,600 – 2,700 kutoka usawa wa Bahari, Joto la kati ya8oC hadi 10OC na kiasi cha mvua cha 1,000 – 1,600mm vinatoa fursa katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, mbuzi wa maziwa, kuku asili, chotara, nyama na nguruwe na upandaji wa malisho ya mifugo kwa mvua na umwagiliaji.

  • Ukanda wa kati:uwepo wa mwinuko kati ya 1,200 hadi 1,600m juu ya usawa wa Bahari, joto la kati ya13 hadi 25oC na mvua za wastani wa 600 hadi 800mm unasaidia ustawi katika ufugaji wa kuku wa mayai, asili,chotara,nyama,nguruwe na mbuzi wa nyama, mbuzi wa maziwa (baadhi ya mbegu) na ng'ombe wa maziwa (baadhi ya mbegu).

  • Ukanda wa chini: Ukanda huu upo katika mwinuko kati ya 1,200 hadi 1,600m juu ya usawa wa Bahari, wastani wa joto kwa mwakani 13 hadi 25oC na mvua zisizo zidi 600mm.  Hali hii inatoa fursa katika ufugaji wa mifugo mbalimbali kama; kuku wa asili,mayai,chotara na nyama, ng'ombe wa nyama na mbuzi wa nyama, Pamoja na upandaji wa malisho kwa umwagiliaji

  • SEKTA YA UVUVI/UFUGAJI SAMAKI.

Wilaya ya Kilolo imegawanyika katika kanda tatu za kiikolojia ambazo kila kanda ina hali ya hewa ambayo inatoa fursa ya aina fulani ya uwekezaji katika sekta yauvuvi. 

  • Ukanda wa juu; Ukanda upo katika mwinuko wa kati ya 1,600 hadi 2700m kutoka usawa wa bahari.  Una joto kati ya 8oC hadi 10OC na kiasi cha mvua ni kati ya 1,000 hadi 1,600mm kwa mwaka. Ukanda huu unajumuisha kata zote za tarafa ya Kilolo. Uwepo wa maji ya kutosha na mito mingi, kuna toa fursa ya ufugaji wa samaki kwa njia ya mabwawa ya kuchimba, mabwawa ya kujenga.  Aina ya samaki wanaofaa kufugwa kwa maeneo haya ni kambale, perege nasato. 


  • Ukanda wakati; Ukanda huu wenye mwinuko kati ya 1,200 hadi 1,600m juu ya usawa wa bahari unajumuisha kata zotezilizopo tarafa ya Mazombe.  Kiasi cha mvua katika Eneo hili ni kati ya 600 hadi 800mm kwa mwaka na hali ya joto ni kati ya 13 hadi 25oC.  Hali hii inafaa sana kwa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya kujengea, mabwawa kuwekewa nailoni maalumu (pond liner) na ufugaji wa samaki kwa mfumo wa RAS (mfumo wa kuzungusha maji ili kuzuia upotevu wa maji).

 

 

  • Ukanda wa chini; Unapatika na katika mwinuko wa 900 – 1,200m kutoka usawa wa bahari. Hali ya joto ni kati ya 15 hadi 29oC. Ukanda huu unapata mvua chache ukilinganisha na maeneo mengine ya wilaya, ambapo wastani wa mvua kwa mwaka ni katiya 500 hadi 600mm. Baadhi ya maeneo haya yana miundombinu ya umwagiliaji ambayo inaweza kutumika pia katika shughuli za ufugaji wa samaki.  Aina ya ufugaji wa samaki unaofaa katika ukanda huu ni ufugaji katika mabwawa ya kujenga au ya nylon (pond liner) na ufugaji kwa mfumo wa RAS (mfumo wa kuzungusha maji).
  •  

     


     

     

     


Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • DAS - AIPOKEA UCSAF KILOLO

    July 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa