• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Historia

1.0. UTANGULIZI:

1.1: ENEO

  • Wilaya ya Kilolo ni moja kati ya Halmashauri tano zilizopo katika mkoa wa Iringa, ilianzishwa mwaka 2005 kwa tangazo la Serikali Na. 220 baada ya kugawanywa toka Wilaya ya Iringa. Wilaya ya Kilolo ina eneo la kilometa za mraba 7882. Wilaya ya Kilolo, ipo kati ya nyuzi za latitudo 70 - 8.30 kusini mwa mstari wa Ikweta na nyuzi za Longitudo 340 - 370 Mashariki mwa mstari wa Greenwichi. Wilaya ya Kilolo inapakana na Wilaya ya Mpwapwa kwa upande (Dodoma) wa kaskazini, Wilaya ya kilosa kwa upande wa Kaskazini Mashariki, Wilaya ya Kilombero (Morogoro) upande wa Mashariki. kwa upande wa Kusini ni Wilaya ya Mufindi na upande wa Magharibi imepakana na Wilaya ya Iringa Vijijini.


1.2. UTAWALA

  • Kiutawala, Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ina Tarafa 3 Kata 24, Vijiji 94, Vitongoji 484 na Jimbo moja la Uchaguzi wa Mbunge ambalo ni jimbo la Kilolo.


1.3. UONGOZI

  • Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo inaundwa  na Baraza la Madiwani wa kuchaguliwa 24, Mheshimiwa Mbunge, Jimbo la Uchaguzi la Kilolo, Waheshimiwa wabunge viti maalum 2 na Madiwani wa viti maalum 8, wakuu wa Idara 9, wakuu wa vitengo 9 na Mkurugenzi Mtendaji ambaye ni katibu wa Halmashauri.

             Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ina kamati za kudumu kama ifuatavyo:-

  • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mpango
  • Elimu na Afya
  • Uchumi, Ujenzi na Mazingira

1.4. IDADI YA WATU

Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ina jumla ya wakazi wapatao 263,559 (kutokana na  maoteo ya sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022). Kati ya wakazi hao 128,035 ni Wanaume na 135,524 ni Wanawake. Ina jumla ya Kaya 69,597 ambapo wastani wa ukubwa wa Kaya ni 3.8.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Kuitwa usaili wakusanya mapato October 16, 2024
  • KUITWA KAZINI October 29, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WA UHURU 2025 WARIDHIA MIRADI YOTE KILOLO DC

    April 30, 2025
  • WILAYA YA KILOLO KUFANYA MAONYESHO MAKUBWA YA BIASHARA, KILIMO NA VIWANDA

    April 16, 2025
  • MAFUNZO ELEKEZI KWA AJILI YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI.

    January 14, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI (WASIMAMIZI) NGAZI YA JIMBO KILOLO YATAMATIKA

    December 20, 2024
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa