Idara ya Utumishi na Afisa lishe,tukiwakumbukumbusha watendaji wote wa kata na vijiji juu ya viashiria vya mkataba wa Lishe,na hasa zaidi namna ya kujadiri Ajenda ya lishe kwenye vikao vyao (Ni taarifa zipi wanapaswa kua nazo na kuzijafiri), utekelezaji wa siku ya Afya na Lishe ya Kijiji (SALiKi) Nini kinapasaa kufanyika na kina Nani wanapaswa kufanya hayo;Aidha tuliwakumbusha ubandikaji wa taarifa za Lishe kwenye mbao za matangazo na ubora wa taarifa zinazoletwa na wataalamu wa sekta mbalimbali, lakini Afisa UTUMISHI alikua anasimamia utekelezwaji wa agizo la kuwalipa wahudumu wa afya ngazi ya jamii ikiwa ni pamoja na wao kufahamu checklist ya wahudumu hao,na ratiba za Kazi zao kuwepo ofisini Kwa mtendaji n.k
Haya yalifanyika tarehe 6/4/2023 na tulifanikiwa kukaa na watendaji wote wa kata na WA vijiji wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa