• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mh.JAFO SULEIMAN SAID AKIKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO UNAVYOENDELEA

Posted on: May 16th, 2017

Mh.Jafo Suleiman Said amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa majengo ya hospitali ya wilaya ya Kilolo kufuatia maagizo aliyoyatoa alipotembelea wilaya hii mwaka jana September.Hospitali hiyo inategemea kukamilika ifikapo mwezi wa tisa mwaka huu.Lengo kuu la ujenzi wa hospitali  ni kusogeza huduma za Afya karibu na jamii ikiwa ni utekelezaji wa sera ya Afya ya mwaka 2009 na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya chama Tawala ya mwaka 2015. Mradi huu umelenga kuhudumia wakazi wanaokadiriwa kuwa 229,146 kutokana na kasi ya ukuaji wa watu unaokadiriwa kuwa 1.7% kwa mwaka kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 .Mradi huu unasimamiwa na wakala wa Majengo Tanzania(TBA)ambao wameingia memoranda ya makubaliano na Halmashauri katika kutekeleza jukumu hili muhimu kwa  lengo la kuhakikisha kazi inayofanyika inaendana na thamani ya fedha iliyotumika. Aidha Mh.Jafo Suleiman alisisitiza halmashauri kwa upande wake ifanye ufuatiliaji wa mara kwa mara ili kuhakikisha kazi zinafanyika kwa uadilifu mkubwa ili miradi yote iliyoanzishwa iweze kukamilika kwa wakati na katika viwango vinavyokubalika.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Kuitwa usaili wakusanya mapato October 16, 2024
  • KUITWA KAZINI October 29, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WA UHURU 2025 WARIDHIA MIRADI YOTE KILOLO DC

    April 30, 2025
  • WILAYA YA KILOLO KUFANYA MAONYESHO MAKUBWA YA BIASHARA, KILIMO NA VIWANDA

    April 16, 2025
  • MAFUNZO ELEKEZI KWA AJILI YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI.

    January 14, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI (WASIMAMIZI) NGAZI YA JIMBO KILOLO YATAMATIKA

    December 20, 2024
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa