• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Maadili ya Misingi

  • Kuhakikisha uwazi wa taratibu, miundo na mawasiliano
  • Masula ya kifedha yanawekwa wazi kwa wananchi wote na wadau wengine
  • Shughuli zote za kifedha zinafanyiwa kwa ukaguzi na uchunguz
  • Shughuli za Halmashauri ya Wilaya zinapaswa kuzingatia kuleta matokeo katika jamii.
  • Jamii inapaswa kuruhusiwa kufuatilia na kutathmini matokeo ya Halmashauri katika ngazi za mitaa
  • Kila mtu anapaswa kuwajibika kwa maamuzi na matendo yake
  • Kutumia muda na Nguvu katika kuhakikisha kuwa wananchi/watu wanapata huduma vizuri
  • Epuka upendeleo katika utoaji wa huduma
  • Epuka rushwa
  • Wafanyakazi hawatatumia vifaa vya umma kwa faida binafsi wala kutafuta au kukubali neema au ushawishi.
  • Kuwa wa kweli, waaminifu, wa haki na thabiti katika shughuli zote
  • Kukubali utu wa mtu
  • Kuzingatia mahitaji ya watu na kuunga mkono kwa namna zinazolinda heshima zao
  • Halmashauri ya Wilaya inajiweka yenyewe katika njia ya ushirikishwaji, inayohusisha wadau wa ndani na nje katika mchakato wa kufanya maamuzi.
  • Halmashauri ya Wilaya inafanya kazi kama timu ya pamoja ili kuongeza umakini na ufanisi
  • Halmashauri ya Wilaya na wafanyakazi wa mashirika wanapaswa kuweka kando kipaumbele na mapendekezo yao binafsi ili kutumikia matakwa ya Taasisi na yale ya wateja wao.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • DAS - AIPOKEA UCSAF KILOLO

    July 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa