FURSA ZA UWEKEZAJI.
| Ukanda
|
Nyuzijoto
(Wastani) |
Mwinuko Juu ya Usawa wa Bahari (M)
|
Wastani wa Mvua (Mm) kwa Mwaka
|
Kipindi cha Uzalishaji (Siku)
|
Mahali
|
Fursa kwenye Kilimo
|
| Juu
|
150 C
|
1300- 2800
|
900 -1600
|
170 - 280
|
Kata za Dabaga, Ng’ang’ange, Ukwega, Mtitu, Ihimbo, B/ng’ombe, Masisiwe, Ukumbi, Kisin’ga, Ng’uruhe, Idete, Kimala naUdekwa
|
Uzalishaji wa mazao ya Kilimo kama Pareto, kahawa, Mahindi, Maharage, Njegere, Ngano, chai, Ulezi, ViaziMviringo, Shayiri, Mbogamboga na Matunda
|
| Ujenzi wa vi wanda vya kuchakata na kuongeza thamani ya mazao kama Mahindi na Ngano
|
||||||
| Ujenzi wa viwanda vya kuchakatia na kufungashia mazao (Pack house) kwa mazao ya mboga na Matunda
|
||||||
| Kati
|
15-200C
|
800 - 1300
|
600 - 900
|
155 - 215
|
Kata za Irole, Lugalo, Ilula, Mlafu, Nyalumbu, Image, Ibumu na Uhambingeto
|
Uzalishaji wa mazao kama Alizeti, Nyanya, Mahindi, Mpunga, Viazi Vitamu, Maharage, Ufuta, Mbogamboga na Matunda.
|
| Ujenzi wa viwanda vya kuchakata na kuongeza thamani ya mazao kama Mahindi na Alizeti.
|
||||||
| Ujenzi wa viwanda vya kuchakatia na kufungashia mazao (Pack house) kwa mazao ya mboga na Matunda
|
||||||
| Chini
|
20-300C
|
550 - 800
|
550 - 600
|
125 - 130
|
Kata ya Mahenge, Nyanzwa na Ruaha mbuyuni
|
Uzalishaji wa mazao kama Mpunga, Ufuta, Vitunguu, Nyanya, Ndizi, Alizeti, Karanga, Pamba, Mtama, Muhogo, Matunda na Korosho.
|
| Ujenzi wa viwanda vya kuchakata na kuongeza thamani ya mazao kama Mahindi na Alizeti.
|
||||||
| Ujenzi wa viwanda vya kuchakatia na kufungashia mazao (Pack house) kwa mazao ya mboga na Matunda
|
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa