• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

TEHAMA

  • TANGULIZI

Kitengo cha TEHAMA ni moja ya vitengo sita (4) katika Halmashauri ya Ikungi. Kitengo hiki kina watumishi wanne.


 Kitengo hiki kinafanya kazi ya kusimamia matumizi sahihi na salama ya vifaa vya TEHAMA na Kusimamia Mifumo yote inayotumika katika Halmashauri ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi.

UTEKELEZAJI  WA SHUGHULI MBALI MBALI

Kitengo hiki kinafanya shughuli zifuatazo:

i. Kuhakikisha mifumo yote inayotumika katika Halmashauri inafanya kazi kwa ufanisi. Mifumo hiyo ni :-

Mfumo wa kukusanyia Mapato (LGRCIS),

Mfumo wa matumizi ya fedha zote za Halmashauri (EPICOR),

Mfumo wa kuandaa bajeti ya Halmashauri (PLANREP),

Mfumo wa uhasibu na utoaji wa taarifa katika vituo vya kutolea huduma (FFARS),

Mfumo wa kutolea takwimu za Elimu Msingi na Sekondari (BEMIS),

Mfumo wa kusimamia mishahara ya watumishi na utunzaji wa taarifa za watumishi   (LAWSON),

Mfumo wa usajili wa wanafunzi wa Elimu Msingi (PREM),

Mfumo wa utunzaji taarifa za walengwa (PSSN) ,

Mfumo wa kutolea taarifa za wagonjwa (GoT- HoMIS), 

Mfumo wa kutolea taarifa za  usimamizi wa shule  (SIS)  ambao umeanza kutumika kwa ngazi ya Elimu Msingi na

Mfumo wa kutolea  vibali vya kusafiria nje ya nchi ambao unapatikana kwa kiunganishi cha  https://safari.gov.go.tz

  1. Kurekebisha miundo mbinu ya mtandao wa ndani (LAN) pale inapotokea hitilafu ya mawasiliano

  2. Kusimamia tovuti ya Halmashauri ambayo inapatikana kwa kiunganishi cha www.ikungidc.go.tz

  3. Kuhakikisha POS za kukusanyia mapato zinafanya kazi kama ilivyokusudiwa na taarifa zote za ukusanyaji zinatumwa kwenye server kuu iliyopo TAMISEMI

  4. Kutoa Elimu kwa watendaji kuhusu utumiaji wa mashine za POS

  5. Kutembelea vituo vya afya na kutatua changamoto zinazojitokeza katika mfumo wa kutolea taarifa za wagonjwa (GoT- HoMIS) na kufanya kazi zingine tunazopangiwa na Mkurugenzi.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • DAS - AIPOKEA UCSAF KILOLO

    July 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa