English
Kiswahili
Kero
|
Wasiliana nasi
|
Maswali
|
Barua pepe
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Historia
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Muundo wa Halmashauri
Idara
Utawala na utumishi
Fedha na Biashara
Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
Afya
Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
Ardhi,Maliasili na Mazingira
Maji
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Ufugaji na Uvuvi
Usafi na Mazingira
Ujenzi na Zimamoto
Vitengo
Sheria
TEHAMA na Uhusiano
Ufugaji Nyuki
Ugavi na Manunuzi
Uchaguzi
Ukaguzi wa ndani
Fursa za Uwekezaji
Vivutio vya Kitalii
Kilimo
Ufugaji
Huduma Zetu
Maji
Elimu
Ufugaji
Afya
Kilimo
Uvuvi
Madiwani
Orodha ya Madiwani
Kamati za Kudumu
Ratiba
Miradi
Itakayotekelezwa
Inayoendelea
Miradi iliyokamilika
Machapisho
Sheria Ndogo
Customers services agreement
Mpango Mkakati
Ripoti
Fomu mbalimbali
Miongozo Mbalimbali
Kituo cha Habari
Taarifa kwa umma
Video za shughuli za ofis au kitaifa
Hotuba za viongozi mbalimbali
Maktaba ya picha
Fedha na Uhasibu
KITENGO CHA UHASIBU
Majukumu ya kitengo cha Fedha na Uhasibu yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:
Usimamizi wa Mishahara:
Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilisha mamlaka husika
Kuwezesha Malipo:
Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
Kuchukua hundi za malipo kutoka Hazina ndogo
Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
Kutunza daftari la hesabu
Hesabu za Mwisho wa Mwaka:
Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Ukusanyaji Mapato:
Kukusanya Mapato
Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo
Ukaguzi wa Awali:
Kuhakiki nyaraka za malipo kama zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa
Kuhakikisha kama sheria, kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
Kuhakikisha malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika
Matangazo
DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
September 24, 2025
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
June 30, 2025
TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA
December 23, 2024
Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral"
October 10, 2024
Angalia zote
Habari mpya
VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.
October 24, 2025
SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO
October 07, 2025
WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO
August 04, 2025
DAS - AIPOKEA UCSAF KILOLO
July 24, 2025
Angalia zote