• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Ukaguzi wa ndani

KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI (INTERNAL AUDIT UNIT)

HISTORIA FUPI:
Kitengo cha Mkaguzi wa ndani wa Hesabu (Internal Audit Unit) kilianzishwa mwaka 2004 ikiwa ni moja ya Mkakati wa maboresho katika Usimamizi wa Fedha katika Serikali za Mitaa.

 

Utangulizi 
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani ni Kitengo ambacho kina jukumu la Kumshauri Afisa Masuuli (Mkurugenzi wa Mtendaji) na kutoa ushauri kwa Idara zingine ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani ambaye anaripoti kwa AFISA MASUULI (Mkurugenzi wa Mtendaji). Pia, Kitengo kinafanya kazi zake kwa mashauriano na Kamati ya Ukaguzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (Audit Committee)

Madhumuni ya Kitengo

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinawajibu wa kufanya kaguzi juu ya utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo pamoja na usimamizi wa rasilimali za Halmashauri na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli unaolenga kuboresha huduma za Halmashauri ili kufikia Malengo yaliyopangwa.

Muundo wa Kitengo 

Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani akisaidiwa na Wakaguzi wa Ndani.

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani.
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina majukumu yafuatayo:-

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

Kutoa ushauri kwa Afisa masuuli kuhusu namna bora ya kusimamia rasilimali.

Kupitia na kutoa taarifa kuhusu namna bora ya kutumia na kuhifadhi rasilimali fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo.

Kupitia na kutoa taarifa kuhusu uzingatiwaji wa kanuni na miongozo ya matumizi inayoongoza Serikali za Mitaa na Serkali kwa ujumla ili kuwa na matumizi bora ya fedha.

Kupitia na kutoa taarifa kuhusu ubora wa mifumo ya kompyuta iliyopo katika kusimamia matumizi bora ya fedha.

Kupitia na kutoa taarifa kuhusu mifumo iliyopo Halmashauri inayosimamia mali kama inakidhi mahitaji ya matumizi bora.

Kuandaa mpango mkakati wa ukaguzi.

Kuratibu shughuli za ukaguzi wa ndani.

Kufanya ukaguzi kuhusu thamani halisi ya fedha kwa huduma na bidhaa zilizonunuliwa.

Kuandaa mpango kazi wa mwaka na kuuwasilisha kwa Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Serikali (IAGD), Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu na Kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa.

Kupitia na kutoa taarifa juu ya udhibiti wa stakabadhi na utunzaji na matumizi ya rasilimali za Halmashauri.

Kushughulikia masuala ya Ukaguzi wa Miradi (Performance Appraissal of Development Projects)

Kufanya tathmini juu ya ufanisi (Effectiveness) katika ngazi zote za Utawala kwenye Wizara/Idara/Mkoa unaohusika kuona ni jinsi gani wanasimamia mali (Resources) na kuona kama taratibu zinafuatwa.


MIKAKATI YA IDARA:
• Kuhakikisha kwamba mfumo wa udhibiti wa ndani unaimarishwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WAPEWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI

    November 28, 2025
  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa