• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Kilimo,Mifugo na Uvivu

Mifugo na Uvuvi

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

Idara ya Mifugo na Uvuvi ni sekta ndani ya  Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo inayojishughulisha na uendelezaji wa wanyama, jamii ya ndege wafugwao na samaki. Lengo kuu likiwa ni kuongeza na kuboresha uzalishaji wa Mifugo na mazao yake, sambamba na upatikanaji wa samaki kutoka ziwani na kwenye mabwawa ya kufugia samaki ili kuboresha lishe ya jamii na kutoa mchango katika kuinua uchumi wa jamii na Taifa kwa ujumla.

ENEO LAKUFUGIA

Sehemu kubwa ya eneo la Halmashauri ya Mji lina malisho hivyo linaruhusu ufugaji wa aina mbalimbali ya mifugo.Karibu asilimia 60 ya eneo hili inatumika kufugia isipokuwa kwenye maeneo ya makazi.

MIFUGO ILIYOPO

Kata
 Ng’ombe
 mbuzi
 kondoo
nguruwe
paka
poutry
mbwa
punda
Image

  6408

   2952

980

2432

-

17600



542
Irole

46580

2255

944

1028

102

25175


682

36
Ilula

  906

  764

    418

305

162

6070


 546

36
Uhambingeto

7040

3500

200

1150

28

20480


13

360
Udekwa

340

785

80

346

64

12864


87

42
Mahenge

8327

7890

1930

407

75

17213


47

78
Mtitu

3755

977

68

1170

-

29371


418

20
Dabaga

380

336

67

-

2910

21880


79

02
Ukumbi

7,800

440

346

62

2381

34992


132

52
Ukwega

283

517

212

1800

21

17670


97

0
Boma la ng'ombe

438

171

36

3624

34

22168


56

03
Idete

 35

 115

 26

760

23

8944


43

02
Masisiwe

75

184

12

2928

4

16408


7

10
Ng'uruhe

4397

706

349

1206

46

14135


123

09
Ng'ang'annge

145

60

0

2042

31

12033


91

0
Ihimbo

2585

531

750

4740

-

16371


16

12
Lugalo

3264

1610

339

451

7

24175


85

48
Nyalumbu

1272

1012

224

378

12

2406


81

135
Mlafu

195

268

71

250

66

9785


70

22
Ibumu

5504

3520

1400

20660

31

14532


86

700
Ruaha Mbuyuni

4178

4780

1140

242


13664



 28

Kimala                           15              671          53            1137                                   7934                                   0

Total                         63922          3444          9645         34347                                 365872                               2137 


Wanyama na ndege wengine wanaofugwa ni sungura, njiwa, bata mzinga, bata bukini na kanga hawa wanafugwa kwa kiwango kidogo sana ndani ya Halmshauri ya Wilaya ya Kilolo.

 

SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA IDARA YA MIFUGO/UVUVI

  • Kitengo cha mifugo
  • Kinga dhidi ya magonjwa ya mifugo (chanjo na uogeshaji wa mifugo)
  • Tiba ya mifugo
  • Lishe ya mifugo
  • Hifadhi ya mifugo
  • Elimu juu ya sheria, kanuni na taratibu za ufugaji unaokubalika
  • Elimu ya ufugaji wenye tija
  • Elimu ya usindikaji  na biashara ya  mazao ya mifugo
  • Kusimamia biashara ya mifugo kwenye minada ya awali
  • Kusimamia ukaguzi na usafi wa nyama kwenye machinjio ndani ya Halmashauri

Eneo linalostahili kwa malisho na ufugaji kwa ujumla ni Hekta za mraba 71,874. Eneo hili linatumika pia kwa kilimo kwani hakuna eneo lililotengwa rasmi kwa ufugaji.

  • Kitengo cha uvuvi
  •  Kitengo hiki kinafanya shughuli za ukaguzi wa samaki wanaoingia kutoka  shemu mbalimbali,zaidi sana ni kutoka ziwa Viktoria na kwenye mito, bwawa la mtera na mabwawa ya watu binafsi.
  • Uhamasishaji na uelimishaji juu ya  ufugaji wa samaki ambao kwa sasa ndio mradi mpya ulioshamili na kupendwa zaidi na jamii.
  • Kushirikiana na taasisi zisizokuwa za kiserikali ili kueneza elimu ya ufugaji wa samaki.
  • Kufanya ufuatiliaji wa biashara ya samaki na mazao ya majini kwa ujumla
  • Mpaka sasa ndani ya Halmashauri tuna jumla ya mabwawa 573 yaliyokwisha pandikizwa samaki. 

 

UVUNAJI WA MIFUGO

  • Tuna jumla ya minada ya mifugo 4 ya awali ndani ya Halmashauri.
  • Tuna machinjio 2 na angikio 1 linalotambulika - wastani wa uchinjaji kwa siku kwenye machinjio za  Halmashauri ni ng’ombe 40, mbuzi 15 kwa siku kipindi cha ukata na ng’ombe 53 ,mbuzi 27 kipindi cha biashara nzuri hasa baada ya mavuno.
  • Pia wafugaji huuziana mifugo wao kwa wao.

Mikakati tuliyonayo ni kuhakikisha kuwa Halmashauri inakuwa na ufugaji wenye tija katika kujenga uchumi wa jamii na Taifa kwa ujumla.

Shughuli kuu iliyoko kwa sasa ni zoezi la utambuzi na uvishaji wa hereni kwa mifugo (ng’ombe).

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA WATUMISHI WA UMMA December 23, 2024
  • Waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa "Oral" October 10, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • DAS - AIPOKEA UCSAF KILOLO

    July 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa