HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO
KIAMBATA Na. 1: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO HADI KUFIKIA MWEZI SEPTEMBA, 2025.
2. ELIMU SEKONDARI
A. MIRADI ILIYOKAMILIKA
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30, Septemba 2025
|
Fedha iliyotumika hadi 30, Septemba 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1.
|
Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo katika shule ya sekondari Ibumu
|
Ujenzi umekamilika
|
100
|
12,000,000.00
|
12,000,000.00
|
11,600,500.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 2.
|
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo shule ya sekondari makwema
|
Ujenzi wa vyoo matundu 12 umekamilika
|
100
|
16,000,000.00
|
16,000,000.00
|
6,550,000.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
|
Jumla |
28,000,000.00
|
28,000,000.00
|
18,150,500.00
|
|
|
|
|
|
|||
B. MIRADI ILIYOMALIZA FEDHA ZA UTEKELEZAJI NA MIRADI HAIJAKAMILIKA.
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30, Septemba 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30, Septemba2025
|
Mwaka wa mapokezi ya fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1
|
Ukamilishaji ujenzi wa bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya wasichana Lugalo
|
Ujenzi wa bwalo upo hatua ya kufunga mifumo yam aji
Mabweni bado milango |
89
|
600,000,000.00
|
600,000,000.00
|
588,733,520.00
|
2024/2025
|
SEQUIP na Mapato ya ndani
|
16.9.2024
|
30.7.2025
|
Kiasi cha Tsh.152,737,360.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo halmashauri itatenga fedha Kadiri zitakavyopatikana ili kukamilisha mradi
|
| 2
|
Ujenzi wa miundombinu mipya ya shule ya sekondari ya wasichana Lugalo
|
Ujenzi wa madarasa 10 na nyumba 3 za walimu zimekamilikJengo la Tehama, na Maktaba umekamilika, Ujenzi wa mabweni 4 upo hatua ya ukamilishaji ( (ufungaji wa milango),
|
96
|
1,100,000,000.00
|
1,100,000,000.00
|
1,099,718,454.00
|
2023/24
|
SEQUIP
|
16.9.2024 1.10.2024
|
30.6.2025
|
Kiasi cha Tsh. 51,740,000.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha Kadiri zitakavyopatikana ili kukamilisha mradi
|
| 3
|
Ujenzi wa shule mpya sekondari ya Kipaduka
|
Ujenzi wa madarasa 8 na ofisi, jengo la utawala, na vyoo matundu 8 ujenzi umekamilika, Ujenzi wa jengo la Tehama na Maktaba , majengo ya maabara ya kemia na biolojia hatua ya ukamilishaji(kuweka tiles, mifumo ya maji na gasi, kuweka milango), jengo la maabara ya fizikia hatua ya kuezeka na ujenzi wa vyoo matundu 4 ya walimu yapo hatua ya ukamilishaji(kufunga milango) na ujenzi wa kichomea taka kimoja kimejengwa na kingine kinaendelea na tanki la ardhini upo hatua ya maandalizi
|
87
|
583,180,028.00
|
583,180,028.00
|
572,436,252.8
|
2023/24
|
SEQUIP
|
14.9.2024
|
28.2.2025
|
Kiasi cha Tsh. 85,296,510.92 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha Kadiri zitakavyopatikana ili kukamilisha
|
| 4
|
Ujenzi wa miundombinu mipya ya shule ya sekondari Kilolo
|
Ujenzi wa mabweni 2 hatua ya ukamilishaji, bweni la wasichana hatua ya skimming, kuweka fremu za milango na topu zake na mfumo wa maji taka, bweni la wavulana hatua ya kufunga fremu za milango na topu zake na mfumo wa maji taka, vyumba 4 vya madarasa hatua ya kuweka umeme na matundu 8 ya vyoo yapo hatua ya uwekaji wa mageti
|
94
|
376,000,000.00
|
376,000,000.00
|
370,487,076.60
|
2023/24
|
SEQUIP
|
05.09.2024
|
20.10.202
|
Kiasi cha Tsh. 49,160,000.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha Kadiri zitakavyopatikana ili kukamilisha
|
| 5
|
Ujenzi wa miundombinu mipya ya shule ya sekondari Ifingo
|
Ujenzi wa madarasa 4 na nyumba 1 ya mwalimu ipo hatua ya ukamilishaji kufunga milango, Ujenzi wa mabweni mawili( bweni 1 lipo hatua ya ukamilishaji kuwe(kufunga milango) na bweni la 2 lipo hatua ya kuweka lenta ya juu), na Matundu 10 ya vyoo yapo hatua ya ukamilishaji kuweka milango
|
87
|
480,000,000.00
|
480,000,000.00
|
457,163,447.58
|
2023/24
|
SEQUIP
|
07.9.2024
|
07.12.2024
muda uliongezwa hadi tarehe 30.05.2025 |
Kiasi cha Tsh.98, 139,000.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha kadri zinavyopatikana ili kukamilisha mradi
|
| 6
|
Ujenzi wa miundombinu mipya shule ya sekondari Lukosi (Ujenzi wa Madarasa 4, vyoo matundu 10 na mabweni 2)
|
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na matundu 10 ya vyoo umekamilika, na Ujenzi wa mabweni 2 yapo hatua ya kuweka malumalu na kupak rangi
|
88
|
380,000,000.00
|
380,000,000.00
|
277,785,075.71
|
2024/2025
|
SEQUIP
|
7.11.2024 na 16.11.2024
|
30.1.2025 na 15.07.2025
|
Kiasi cha Tsh.12,800,000.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha kadri zinavyopatikana ili kukamilisha mradi.
|
| 7
|
Ujenzi wa miundombinu mipya shule ya sekondari Ikokoto (madarasa 4 na ofisi 1, Jengo la utawala, Maabara ya Kemia na Baolojia na Fizikia, Vyoo matundu 8, Jengo la Tehama, Maktaba, Kichomea taka na Mnara wa tanki la maji)
|
Ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa, Jengo la Tehama, jengo la utawala, maktaba, na vyoo matundu 10 umekamilika, na ujenzi wa maabara 3 upo hatua ya kuweka malumalu
|
99
|
583,180,028.00
|
583,180,028.00
|
561,880,669.00
|
2024/2025
|
SEQUIP
|
13.10.2024
|
10.4.2025
|
Kiasi cha Tsh 52,416,200.00 kinahitajika ili kukamilisha mradi hivyo halmashauri itatenga fedha Kadiri zitakavyopatikana ili kukamilisha mradi.
|
| 8
|
Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya sekondari Mazombe
|
Ujenzi upo hatua ya hatua ya ukamilishaji (uwekaji wa malumalu na rangi na mifumo ya maji)
|
83
|
20,000,000.00
|
20,000,000.00
|
19,973,980.00
.00 |
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
04.5.2025
|
4.9.2025
|
Ushiriki mdogo wa nguvu kazi za wananchi.
|
| JUMLA
|
4,122,360,056.00 |
4,122,360,056.00 |
3,948,178,475.69 |
|
|
|
|
|
|||
C.MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2024/25 INAYOENDELEA KUTEKELEZWA
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
|
Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo katika shule ya sekondari Ipeta
|
Ujenzi upo hatua ya upauji
|
63
|
12,000,000.00
|
12,000,000.00
|
2,951,630.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
|
Ukamilishaji wa hostel ya wasichana Shule ya Sekondari ya Ipeta
|
Ujenzi upo kwenye hatua ya manunuzi
|
5
|
10,000,000.00
|
10,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Mapato ya ndani
|
-
|
-
|
|
|
Ukamilishaji wa hostel ya wavulana Shule ya Sekondari ya Ukwega
|
Ujenzi upo hatua ya manunuzi
|
5
|
15,000,000.00
|
15,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Mapato ya ndani
|
-
|
-
|
|
|
Ujenzi wa shule mpya ya sekondari kijiji cha Itonya
|
Taratibu za manunuzi
|
5
|
583,180,028.00
|
583,180,028.00
|
0.00
|
2024/2025
|
SEQUIP
|
|
|
|
|
Ujenzi wa vyoo matundu 5 shule ya sekondari Ng’ang’ange
|
Ujenzi wa vyoo upo hatua ya ukamilishaji (bado uwekaji wa malumalu,rangi na kupachika masinki)
|
85
|
10,500,000.00
|
10,500,000.00
|
8,138,000.00
|
2024/2025
|
SEQUIP
|
04.082025
|
03.09.2025
|
|
|
JUMLA |
|
630,680,028.00
|
630,680,028
|
11,089,630.00 |
|
|
|
|
|
||
D. MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2025/26 ILIYOPELEKEWA FEDHA MWEZI SEPTEMBA
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/ Maoni
|
| 1.
|
Ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya Sekondari Irima
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
20,000,000.00
|
20,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 2.
|
Ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya Sekondari Ng’ang’ange
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
20,000,000.00
|
20,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Serikali Kuu
|
|
|
|
| 3.
|
Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo shule ya Sekondari Selebu
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
12,000,000.00
|
12,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 4.
|
Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo shule ya Sekondari Irole
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
12,000,000.00
|
12,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 5.
|
Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo shule ya Sekondari Uhambingeto
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
20,000,000.00
|
20,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 6.
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa Bweni shule ya Sekondari Kiheka
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
20,000,000.00
|
20,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Mapato ya ndani
|
|
|
|
| 7.
|
Ukamilishaji wa maabara 1 shule ya Sekondari Ifingo
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
30,000,000.00
|
30,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Serikali Kuu
|
|
|
|
| 8.
|
Ukamilishaji wa maabara 2 shule ya Sekondari Nyanzwa
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
30,000,000.00
|
30,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Serikali Kuu
|
|
|
|
| JUMLA
|
|
164,000,000.00
|
164,000,000.00
|
0.00
|
|
|
|
|
|
||
3. AFYA
MIRADI ILIYOKAMILIKA
| Na
|
Jina la Mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha Iliyopokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha Fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya Kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1.
|
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika zahanati ya Lyasa Image
|
Ujenzi wa kichomea taka (1), shimo la kutupia kondo la nyuma la wazazi (1), shimo la majivu (1) na fensi kuzunguka shimo la kutupia kondo la nyuma la ujenzi umekamilika
|
100
|
22,000,000.00
|
22,000,000.00
|
19,000,000.00
|
2024/25
|
SRWSS
|
|
|
|
| 2.
|
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika zahanati ya Nyanzwa
|
Kichomea taka, shimo la kutupia kondo la nyuma na majivu imekamilika
|
90
|
19,000,000.00
|
19,000,000.00
|
18,050,000.00
|
2024/25
|
SRWSS
|
|
|
|
| JUMLA
|
|
41,000,000.00
|
41,000,000.00
|
37,050,000.00
|
|
|
|
|
|
||
MIRADI ILIYOMALIZA FEDHA ZA UTEKELEZAJI NA MIRADI HAIJAKAMILIKA
| Na
|
Jina la Mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha Iliyopokelewa hadi tarehe 31 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 31 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha Fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya Kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu katika kituo cha afya nyalumbu
|
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi (3 in 1) upo hatua ya kupaka rangi na uwekaji umeme phase 2, ufungaji mfumo wa maji,uwekaji malumalu, uwekaji wa milango na madirisha , ujenzi wa njia ya kutembelea (walk ways), jengo la wodi ya wazazi na upasuaji na jengo la kufulia limekamilika.
|
90
|
250,000,000.00
|
250,000,000.00
|
243,326,698.11
|
2024/25
|
TMCHIP
|
13.12.2024
|
30.6.2025
|
Kiasi cha Tsh. 38,000,000.00 kinahatajika ili kukamilisha mradi hivyo Halmashauri itatenga fedha kadri zitavyopatikana
|
| 2
|
Kuwezesha ukamilishaji wa Zahanati ya Mbigili
|
Ujenzi upo hatua ya ukamilishaji
|
68
|
30,000,000.00
|
30,000,000.00
|
30,000,000.00
|
2024/25
|
Mapato ya ndani
|
8.4.2025
|
23.4.2025
|
|
| JUMLA
|
|
280,000,000.00 |
280,000,000.00
|
273,326,698.11
|
|
|
|
|
|
||
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/ Maoni
|
| 1.
|
Ujenzi wa chumba cha kuhifadhia dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
0
|
130,000,000.00
|
130,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Serikali Kuu
|
|
|
|
|
JUMLA |
|
130,000,000.00
|
130,000,000.00
|
0.00
|
|
|
|
|
|
||
D. MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2025/26 ILIYOPELEKEWA FEDHA MWEZI SEPTEMBA
UTAWALA
A. MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2024/25 INAYOENDELEA KUTEKELEZWA
| Na
|
Jina la Mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha Iliyopokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha Fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya Kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1
|
Ujenzi wa nyumba 2 za wakuu wa idara
|
Taratibu za manunuzi
|
5
|
160,000,000.00
|
160,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Serikali Kuu
|
-
|
-
|
|
| JUMLA
|
160,000,000.00
|
160,000,000.00
|
0.00
|
|
|
|
|
|
|||
B. MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2025/26 ILIYOPELEKEWA FEDHA MWEZI SEPTEMBA
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/ Maoni
|
| 1.
|
Ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji (W)
|
Fedha zimepokelewa mwishoni mwa mwezi septemba 2025
|
|
100,000,000.00
|
100,000,000.00
|
0.00
|
2025/26
|
Serikali Kuu
|
|
|
|
| Jumla
|
100,000,000.00
|
100,000,000.00
|
0.00
|
|
|
|
|
|
|||
Chanzo: Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2025
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa