A. MIRADI ILIYOMALIZA FEDHA ZA UTEKELEZAJI NA MIRADI HAIJAKAMILIKA
| Na
|
Jina la Mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha Iliyopokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha Fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya Kukamilisha mradi
|
Changamoto/Maoni
|
| 1
|
Ujenzi wa shule mpya ya mkondo mmoja kijiji cha mtandika shule ya msingi Kidika – Kichangani
|
Ujenzi wa vyoo matundu 6 umekamilika, Ujenzi wa madarasa 9 na jengo la utawala 1 upo hatua ya ukamilishaji (kufunga vioo kwenye vent za milango), na matundu 10 ya vyoo ujenzi umekamilika
|
98
|
350,500,000.00
|
350,500,000.00
|
347,481,646.58
|
2023/24
|
BOOST
|
21.09.2024
|
05.9.2025
|
Kiasi cha Tsh.15,820,000.00 Kinahitajika ili kununua samani na bembea hivyo Halmashauri itatenga fedha kadri zinavyopatikana ili kununua samani
|
| 2
|
Ujenzi wa shule mpya ya mkondo mmoja kijiji cha Uhambingeto shule ya msingi Msombwe -Uhambingeto
|
Ujenzi wa jengo 1 la utawala, vyoo matundu 16 umekamilika na madarasa 9 ujenzi umekamilika bado hatua ya uwekaji wa madawati.
|
97
|
350,500,000.00
|
350,500,000.00
|
348,599,127.99
|
2023/24
|
BOOST
|
11.9.2024
|
19.4.2025
|
Kiasi cha Tsh.17,020,000.00 Kinahitajika ili kununua samani na bembea hivyo Halmashauri itatenga fedha kadri zinavyopatikana ili kununua samani
|
| Jumla
|
|
701,000,000.00
|
701,000,000.00
|
696,080,774.57
|
|
|
|
|
|
||
MIRADI YA MWAKA WA FEDHA 2024/25 INAYOENDELEA KUTEKELEZWA
| Na
|
Jina la mradi
|
Utekelezaji
|
%
|
Bajeti idhinishwa
|
Fedha ilipokelewa hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Fedha iliyotumika hadi tarehe 30 Septemba, 2025
|
Mwaka wa mapokezi ya Fedha
|
Chanzo cha Fedha
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
Tarehe ya kukamilisha mradi
|
Changamoto/ Maoni
|
| 1
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya msingi Mayoka
|
Ujenzi upo hatua ya ukamilishaji (ufungaji wa milango na madirisha.
|
78
|
25,000,000.00
|
25,000,000.00
|
20,287,874.14
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
01.7.2025
|
30.9.2025
|
|
| 2
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Iyanika
|
Ujenzi upo hatua za manunuzi
|
5
|
25,000,000.00
|
25,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
-
|
-
|
Mzabuni wa madini ujenzi hajapatikana
|
| 3
|
Ukamilishaji wa darasa 1 shule ya msingi Wotalisoli
|
Ujenzi upo hatua ya utangazaji wa zabuni za kupata mafundi na wafanyabiashara wa vifaa vya viwandani na madini ujenzi.
|
5
|
12,000,000.00
|
12,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Mapato ya ndani
|
-
|
-
|
Wazabuni bado hawapatikana
|
| 4
|
Ujenzi wa darasa 1 shule ya msingi Malendi
|
Ujenzi upo hatua ya
lenta |
62
|
25,000,000.00
|
25,000,000.00
|
1,912,500.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
01.9.2025
|
29.11.2025
|
|
| 5
|
Ujenzi wa darasa 1 shule ya msingi Kidika
|
Ujenzi upo hatua ya msingi
|
5
|
25,000,000.00
|
25,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
-
|
-
|
Mzabuni wa vifaa vya viwandani hajapatikana
|
| 6
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi kituo shikizi Muungano
|
Ujenzi upo hatua ya kupaua
|
64
|
16,000,000.00
|
16,000,000.00
|
14,958,950.00
|
2024/2025
|
Mapato ya ndani
|
24.6.2025
|
26.7.206525
|
Bati 20 zinahitajika kukamilisha
|
| 7
|
Ujenzi wa vyoo matundu 14 shule ya msingi Mgowelo
|
Ujenzi upo hatua ya ukamilishaji wa uwekaji wa malumalu na ufungaji wa mfumo wa maji safi na taka.
|
87
|
40,250,000.00
|
40,250,000.00
|
32,196,400.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
01.04.2025
|
31.07.2025
|
|
| 8
|
Ujenzi wa vyoo matundu 13 shule ya msingi Mtakuja
|
Ujenzi upo katika hatua za ukamilishaji wa kupaka rangi, na uwekaji wa malumalu
|
82
|
38,250,000.00
|
38,250,000.00
|
32,706,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
21.06.2025
|
18.09.2025
|
|
| 9
|
Ujenzi wa vyoo matundu 24 shule ya msingi Itungi
|
Ujenzi upo hatua ya Upauaji na upigaji wa lipu.
|
65
|
65,250,000.00
|
65,250,000.00
|
29,465,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
10.6.2025
|
30.9.2025
|
|
| 10
|
Ujenzi wa vyoo matundu 14 shule ya msingi Iwindi
|
Ujenzi upo hatua ya Upigaji wa rangi nje kwenye boma la choo cha wasichana na uwekaji wa malumalu choo cha wavulana, maboma na vyoo vya walimu ujenzi umekamilika,
|
87
|
40,250,000.00
|
40,250,000.00
|
31,656,749.72
|
2024/2025
|
SRWSS
|
19.6.2025
|
3.8.2025
|
|
| 11
|
Ujenzi wa vyoo matundu 22 shule ya msingi Ikuka
|
Ujenzi upo hatua ya uwekaji wa mfumo wa maji
|
64
|
57,250,000.00
|
57,250,000.00
|
21,300,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
14.6.2025
|
30.8.2025
|
|
| 12
|
Ujenzi wa vyoo matundu 17 shule ya msingi Ilambo
|
Ujenzi upo hatua ya Upauaji kwa vyoo vya wavulana na walimu. Jengo la vyoo vya wasichana lipo hatua ya kujenga kuta
|
69
|
46,636,243.25
|
46,636,243.25
|
40,339,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
09.7.2025
|
9.10.2025
|
|
| 13
|
Ujenzi wa vyoo matundu 23 shule ya msingi Winome
|
Ujenzi upo hatua ya upauaji kwa majengo ya vyoo vya wavulana na wasichana, ujenzi wa vyoo vya walimu upo hatua ya kuta.
Aidha mashimo ya maji taka yamejengwa na yapo hatua ya ufunikaji. |
62
|
59,000,000.00
|
59,000,000.00
|
11,235,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
18.06.2025
|
18.10.2025
|
|
| 14
|
Ujenzi wa vyoo matundu 11 shule ya msingi Malendi
|
Ujenzi upo hatua ya uwekaji wa malunalu
|
82
|
34,000,000.00
|
34,000,000.00
|
18,402,800.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
28.6.2025
|
26.9.2025
|
|
| 15
|
Ujenzi wa vyoo matundu 26 shule ya msingi Ibofwe
|
Ujenzi upo hatua ya upauaji kwa vyoo vya wasichana, kwa vyoo vya wavulana na walimu ujenzi upo hatua ya linta. Mashimo ya maji taka yamekamilka kujengwa
|
63
|
61,000,000.00
|
61,000,000.00
|
45,000,000.00
|
2024/2025
|
SRWSS
|
05.7.2025
|
10.9.2025
|
Mzabuni wa vifaa vya viwandani kusuasua kupeleka vifaa eneo la ujenzi.
|
| 16
|
Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) shule ya msingi Wangama
|
Ujenzi upo hatua ya uchimbaji wa msingi
|
5
|
100,000,000.00
|
100,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
GPE-TSP
|
-
|
-
|
Mradi unasubiri hati ya msamaha wa kodi toka TRA kwa mujibu wa masharti ya mfadhili
|
| 17
|
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa shule ya msingi Mayoka
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi na kutangaza tenda
|
6
|
75,000,000.00
|
75,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
GPE-TSP
|
-
|
-
|
Mradi unasubiri hati ya msamaha wa kodi toka TRA kwa mujibu wa masharti ya mfadhili
|
| 18
|
Ujenzi wa vyoo matundu 10 shule ya msingi Tumaini
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi
|
5
|
22,000,000.00
|
22,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
GPE-TSP
|
-
|
-
|
Mradi unasubiri hati ya msamaha wa kodi toka TRA kwa mujibu wa masharti ya mfadhili
|
| 19
|
Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu shule ya msingi Ibumu
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi (mchanga, mawe, tofari na kokoto)
|
5
|
51,000,000.00
|
51,000,000.00
|
0.00
|
2024/2025
|
GPE-TSP
|
-
|
-
|
Mradi unasubiri hati ya msamaha wa kodi toka TRA kwa mujibu wa masharti ya mfadhili
|
| 20
|
Ukamilishaji wa maboma 4 ya vyumba vya madarasa kituo shikizi cha Kwale Kata ya Ruahambuyuni
|
Ujenzi upo hatua ya kutangaza tenda za wazabuni wa vifaa na fundi kwenye mfumo wa Nest
|
5
|
50,000,000.00
|
50,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Serikali kuu
|
-
|
-
|
|
| 21
|
Ukamilishaji wa maboma matatu ya madarasa matatu kituo shikizi cha Barabara mbili Kata ya Kising'a
|
Ujenzi upo hatua ya kutangaza tenda za wazabuni wa vifaa na fundi kwenye mfumo wa Nest
|
5
|
37,500,000.00
|
37,500,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Serikali kuu
|
|
|
Utangazaji wa zabuni bado unaendelea
|
| 22
|
Ukamilishaji wa maboma 3 ya vyumba vya madarasa kituo shikizi cha Lugolofu Kata ya Ibumu
|
Ujenzi upo hatua ya kutangaza tenda za wazabuni wa vifaa na fundi kwenye mfumo wa Nest
|
5
|
37,500,000.00
|
37,500,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
Serikali Kuu
|
|
|
Utangazaji wa zabuni bado unaendelea
|
| 23
|
Ujenzi wa madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo ya mfano ya Elimu ya Awali na ukarabati wa shule ya msingi Bomalang’ombe
|
Ujenzi upo hatua ya ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi, usafishaji wa maeneo ya ujenzi na utangazaji wa tenda za wazabuni wa vifaa na fundi kwenye mfumo wa Nest
|
5
|
170,100,000.00
|
170,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
|
|
Utangazaji wa zabuni bado unaendelea
|
| 24
|
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo Elimu ya Awali na Ukarabati wa Shule ya msingi Idete
|
Ujenzi upo hatua ya usafishaji wa maeneo ya ujenzi na manunuzi
|
5
|
170,100,000.00
|
170,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
|
|
Usafirishaji wa vifaa vya ujenzi kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea daraja limeondolewa hivyo kusababisha ugumu wa kufikisha vifaa eneo la mradi.
|
| 25
|
Ukarabati wa shule ya Msingi Iyanika
|
Ujenzi upo hatua ya manunuzi
|
5
|
101,000,000.00
|
101,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
|
|
Mzabuni wa madini ujenzi bado hajapatikana
|
| 26
|
Ukarabati wa shule ya Msingi Kimala
|
Ujenzi upo hatua ya manunuzi
|
5
|
101,000,000.00
|
101,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
Mzabuni wa madini ujenzi bado hajapatikana
|
| 29
|
Ukarabati wa shule ya Msingi Mlowa
|
Ujenzi upo hatua ya kupaua kwa madarasa 2 na ofisi 1
|
5
|
101,000,000.00
|
101,000,000.00
|
13,742,500.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 30
|
Ukarabati wa shule ya Msingi Ifuwa
|
Ujenzi upo hatua ya msingi
|
5
|
101,000,000.00
|
101,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
Wazabuni hawajapatikana
|
| 31
|
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo Elimu ya Msingi shule ya msingi Ibofwe
|
Ujenzi upo hatua ya uchimbaji wa msingi
|
5
|
63,000,000.00
|
63,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 32
|
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo Elimu ya Awali na Ukarabati wa Shule ya msingi Kitelewasi
|
Ujenzi upo hatua ya kumwaga jamvi kwa madarasa ya awali na kufunga linta kwa madarasa ya ukarabati
|
5
|
170,100,000.00
|
170,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
22.8.2025
|
30.11.2025
|
|
| 33
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi Igunga
|
Ujenzi upo hatua ya jamvi
|
5
|
88,000,000.00
|
88,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 34
|
Ujenzi wa Madarasa 2 E/Maalum na Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi Pomerini
|
Ujenzi upo hatua ya kujenga msingi.
|
5
|
63,000,000.00
|
63,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
|
|
|
| 35
|
Ujenzi wa Shule Mpya ya Elimu ya Awali na Msingi ya Mkondo Mmoja ktk Eneo La Shule ya Sekondari Kitowo
|
Ujenzi upo hatua ya usafishaji wa eneo la ujenzi na manunuzi
|
5
|
329,500,000.00
|
329,500,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 36
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi, Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali shule ya msingi Mwangaza
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na mshimo ya majitaka na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi
|
5
|
157,100,000.00
|
157,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 37
|
Ujenzi wa Madarasa 2 Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi, Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali shule ya msingi Ilawa
|
Ujenzi upo hatua ya kujenga msingi
|
5
|
132,100,000.00
|
132,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 38
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi, Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali shule ya msingi Malendi
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi na manunuzi
|
5
|
157,100,000.00
|
157,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 39
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 12 ya Vyoo E/Msingi, Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali shule ya msingi Kidika
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi na manunuzi
|
5
|
169,100,000.00
|
169,100,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
| 40
|
Ujenzi wa Madarasa 4, Matundu 13 ya Vyoo E/Msingi Shule ya msingi Kidilo
|
Ujenzi upo hatua ya kuchimba msingi na mashimo ya maji taka na ukusanyaji wa vifaa vya ujenzi ( tofali na mawe)
|
5
|
127,000,000.00
|
127,000,000.00
|
0.00
|
2024/25
|
BOOST
|
-
|
-
|
|
|
JUMLA |
|
3,230,086,243.25
|
285,954,799.72
|
|
|
|
|
||||
Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya
Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo
Simu ya mezani: 0262968010
Mobile:
Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz
Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa