• Kero |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Kilolo District Council
Kilolo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo,Umwagiliaji na ushirika
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi,Maliasili na Mazingira
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu
      • Ufugaji
    • Afya
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Customers services agreement
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofis au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KITONGA MARATHON YAWA KIVUTIO KWA WADAU NA WAWEKEZAJI

Wednesday 4th, February 2026
@Ruaha Mbuyuni - KILOLO

Mbio za Kitonga Marathon zimefanyika kwa mara ya kwanza Mkoani Iringa, Wilaya ya Kilolo, Kata ya Ruaha Mbuyuni, ambapo zimefunguliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Benjamin Sitta aliyekua anamuakilisha mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James.

Mhe. Sitta ameipongeza sana Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kwa kushirikiana na Chemba ya Biashara ya wilaya hiyo kwa kubuni jambo hilo jema na kubwa kwa mkoa wetu, kwani kwa kufanya hivyo wameweza kuleta wadau wa michezo na uwekezaji pamoja kitu ambacho kinachochea maendeleo kwa kasi.

Aidha kwa upande wake mratibu wa mbio hizo za Kitonga Marathoni Ndugu Mabwende, amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Iringa kwa kutenga mda wake na kuja kushiriki mbio hizo.

Mbio za kitonga Marathoni zimekimbiwa na makundi matatu kwa maana ya Umbali kwa kilometa 5, 10 na 21, ikiwa ni kwa upande wa wanawake na wanaume.

Ndugu Mabwende ameahidi mbele ya mgeni rasmi kuwa mbio hizo zitafanyika kila mwaka mwezi wa kumi ili kuendelea kuitangaza halmashauri ya wilaya ya kilolo kwa kuvutia wawekezaji mabalimbali kwani wilaya ya kilolo ina fursa nyingi za kuwekeza.




Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 September 24, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA June 30, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA ZA KAZI December 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WAPEWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI

    November 28, 2025
  • VIKUNDI 104 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA BILIONI MOJA NA ZAIDI.

    October 24, 2025
  • SHIRIKISHO LA UHIFADHI WA MAZINGIRA ASILIA (IUCN) LAFIKA KILOLO

    October 07, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI 48 WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO, KILOLO

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Jinsi ya Kupata leseni ya Biashara kupitia simu ya Mkononi
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Tangazo la Ajira

Viungio vinavyohusiana

  • Public Service Management
  • Watumishi Portal
  • PO-RALG
  • National Examination Council
  • eGA
  • Mkoa wa Iringa
  • Mufindi DC
  • Iringa DC
  • Iringa MC

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtengaji wa Wilaya

    Postal Address: S.L.P 2324 Kilolo

    Simu ya mezani: 0262968010

    Mobile:

    Anuwani ya barua pepe: ded@kilolodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hati miliki @2017 Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo.Haki zote zimeifadhiwa