Posted on: August 4th, 2025
Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata Jimbo la Kilolo wameanza kupata mafunzo ya siku tatu kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Akifungua mafunzo hayo...
Posted on: July 24th, 2025
Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Bi. Nyakaji Etanga amempokea Mtendaji Mkuu wa mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya siku...
Posted on: July 12th, 2025
Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Kilolo(KUU), imetembelea na kufanya ukaguzi wa Miradi ili kujionea jinsi inavyotekelezwa na kusimamiwa ili wapate kujiridhisha kama inafwata ubora na...