Posted on: May 18th, 2017
Jukwaa hilo lilizinduliwa rasmi tarehe 17/05/2017 na Mh.Asia Juma Abdalah mkuu wa Wilaya ya Kilolo.Lengo la kuanzisha jukwaa la Uwezeshaji kiuchumi kwa wanawake ni kukutana na kujadiliana fursa,changa...
Posted on: May 16th, 2017
Mh.Jafo Suleiman Said amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa majengo ya hospitali ya wilaya ya Kilolo kufuatia maagizo aliyoyatoa alipotembelea wilaya hii mwaka jana September.Hospitali hiyo inategemea k...
Posted on: April 26th, 2017
Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 Wilayani Kilolo umezindua jumla ya miradi nane ya maendeleo yenye thamani ya 14,923,909,000 (Bilioni kumi na nne milioni miatisa ishirini na tatu mia tisa na tisa elfu tu)&n...